Pages

Translate

Saturday 22 June 2013

MSAFI DIAMOND PLATINUMZ APOKELEWA KAMA MFALME NCHINI COMORO





Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu aliyeniwezesha mimi na team yangu nzima ya wasafi kusafiri na kufika salama visiwani Comoro,lakin pia siwezi acha kuwashukuru mashabiki wangu wa kweli kwa dua wanazoendelea kuniombea..tulifika Comoro mapema jioni na kupokelewa na umati wa watu waliokuwa an hamu ya kumwona mtoto wa kitanzania nikitua nchini mwao
  hizi ni baadhi ya picha za matukio jinsi wana Comoro walivyonipokea



Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na
 nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi
walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja










Baadaya kutoka Airport nilifanyiwa mahojiano
na kituo cha televisheni cha nchini Comoro..

No comments:

Post a Comment