Hapa kila mtu alikuwa akimtamani mwenzie,'ukisogea tuu unacho'
Huyu nae akifunga barabara kwa kutumia viti
Wengine walikuwa bize na mishe mishe zao
Bili huruma kuwa wawarushiao mabomu ni binadamu wenzao polisi walifanya hivyo kwa nguvu zote ilimradi tuuu kuwatawanya watu
Uharibifu wa miundombinu
JWTZ WAKIWA KATIKA KAZI YA UCHUNGUZI WA BOMU ARUSHA.
W
Siku zote watu husema kuwa kama ipo ipo tuu, japokuwa bomu lilirushwa kwenye gari ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa ili kuwamaliza wale wote waliokuwa wamekaa hapo halikulipuka matokeo yake wananchi ambao huwenda hawana hata haja ya kuwa wanasiasa ndio waliopoteza maisha, sasa kazi kwake yeye ambaye alijitolea kufanya unyama huo kwani damu za watanzania wasikuwa na hatia zitamlilia.

Milioni 100 zimeandaliwa kwa ajili ya mtu atakayewezesha kukamatwa kwa aliyehusika na kurusha bomu hilo, wakati upande wa pili watanzania wanakufa kwa kukosa dawa hospitalini wengina umaskini unawamaliza, vijana wanajihusisha na madawa ya kulevya kwa kukosa mitaji, ooolalala kweli hii ni Tanzania yetu nchi ya amani.
No comments:
Post a Comment