
“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu ni mkali sana hataki ujinga kwa hiyo si rahisi kudili na wanaume, mimi ni kama bikira vile, natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa kituko mjini,” anasema Diana.
Diana ambaye ni mwigizaji mshiriki wa Lulu pia uonekana kama pacha wake katika uigizaji amedai kuwa kutokano na muonekano wake au jinsi alivyoigiza na Lulu katika filamu ya Family disaster ya Ray anadai wengi walimuona kama kahaba kumbe ni kuigiza tu, lakini yeye hajawahi kabisa, Diana ameigiza filamu kama Family disaster, Kazi yangu.
Labels:
udaku
No comments:
Post a Comment